Mwanzo 9:29 - Swahili Revised Union Version29 Siku zote za Nuhu zilikuwa miaka mia tisa na hamsini, akafa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 kisha akafariki akiwa na umri wa miaka 950. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 kisha akafariki akiwa na umri wa miaka 950. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 kisha akafariki akiwa na umri wa miaka 950. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 Nuhu aliishi jumla ya miaka mia tisa na hamsini, ndipo akafa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Nuhu alikuwa na jumla ya miaka 950, ndipo akafa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI29 Siku zote za Nuhu zilikuwa miaka mia tisa na hamsini, akafa. Tazama sura |