Mwanzo 9:7 - Swahili Revised Union Version7 Nanyi zaeni, mkaongezeke; zaeni sana katika nchi, mkaongezeke ndani yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Nanyi zaeni, mkaongezeke; zaeni kwa wingi, mkaongezeke nchini.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Nanyi zaeni, mkaongezeke; zaeni kwa wingi, mkaongezeke nchini.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Nanyi zaeni, mkaongezeke; zaeni kwa wingi, mkaongezeke nchini.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Bali ninyi, zaeni mwongezeke kwa idadi; zidini duniani na kuijaza.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Kuhusu ninyi, zaeni mwongezeke kwa wingi, mzidi katika dunia na kuijaza.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Nanyi zaeni, mkaongezeke; zaeni sana katika nchi, mkaongezeke ndani yake. Tazama sura |