Hivi ndivyo vizazi vya wana wa Nuhu, Shemu, na Hamu, na Yafethi. Na kwao walizaliwa wana wa kiume baada ya gharika.
Mwanzo 5:32 - Swahili Revised Union Version Baada ya Nuhu kufikisha umri wa miaka mia tano, aliwazaa Shemu, na Hamu, na Yafethi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Noa alipokuwa na umri wa miaka 500, alimzaa Shemu na Hamu na Yafethi. Biblia Habari Njema - BHND Noa alipokuwa na umri wa miaka 500, alimzaa Shemu na Hamu na Yafethi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Noa alipokuwa na umri wa miaka 500, alimzaa Shemu na Hamu na Yafethi. Neno: Bibilia Takatifu Baada ya Nuhu kuishi miaka mia tano, aliwazaa Shemu, Hamu, na Yafethi. Neno: Maandiko Matakatifu Baada ya Nuhu kuishi miaka 500, aliwazaa Shemu, Hamu na Yafethi. BIBLIA KISWAHILI Baada ya Nuhu kufikisha umri wa miaka mia tano, aliwazaa Shemu, na Hamu, na Yafethi. |
Hivi ndivyo vizazi vya wana wa Nuhu, Shemu, na Hamu, na Yafethi. Na kwao walizaliwa wana wa kiume baada ya gharika.
Naye Shemu ambaye ni baba wa wana wote wa Eberi, na ndugu mkubwa wa Yafethi, akazaliwa wana.
Hizo ndizo jamaa za wana wa Nuhu, kufuata vizazi vyao, katika mataifa yao; na kwa hao mataifa yaligawanyika katika nchi baada ya gharika.
Siku ile ile Nuhu akaingia katika safina, yeye, na Shemu na Hamu na Yafethi, wana wa Nuhu, na mkewe Nuhu, na wake watatu wa wanawe pamoja naye;
Naye Nuhu alikuwa mtu wa miaka mia sita hapo hiyo gharika ya maji ilipokuwa juu ya nchi.