Mwanzo 3:9 - Swahili Revised Union Version BWANA Mungu akamwita Adamu, akamwambia, Uko wapi? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini Mwenyezi-Mungu akamwita huyo mwanamume, “Uko wapi?” Biblia Habari Njema - BHND Lakini Mwenyezi-Mungu akamwita huyo mwanamume, “Uko wapi?” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini Mwenyezi-Mungu akamwita huyo mwanamume, “Uko wapi?” Neno: Bibilia Takatifu Lakini Bwana Mwenyezi Mungu akamwita Adamu, “Uko wapi?” Neno: Maandiko Matakatifu Lakini bwana Mwenyezi Mungu akamwita Adamu, “Uko wapi?” BIBLIA KISWAHILI BWANA Mungu akamwita Adamu, akamwambia, Uko wapi? |
Akamwambia, Hajiri, wewe mjakazi wa Sarai, unatoka wapi, na unakwenda wapi? Akanena, Namkimbia bimkubwa wangu Sarai.
BWANA akamwambia Kaini, Yuko wapi Habili ndugu yako? Akasema, Sijui, kwani mimi ni mlinzi wa ndugu yangu?
Lakini yeye akaingia, akasimama mbele ya bwana wake. Elisha akamwambia, Watoka wapi, Gehazi? Akanena, Mtumwa wako hakuenda mahali.