Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 11:5 - Swahili Revised Union Version

5 BWANA akashuka ili auone mji na mnara waliokuwa wakiujenga wanadamu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Ndipo Mwenyezi-Mungu akashuka chini kuuona mji huo na mnara walioujenga binadamu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Ndipo Mwenyezi-Mungu akashuka chini kuuona mji huo na mnara walioujenga binadamu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Ndipo Mwenyezi-Mungu akashuka chini kuuona mji huo na mnara walioujenga binadamu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Lakini Mwenyezi Mungu akashuka ili auone mji na mnara ambao wanadamu walikuwa wanaujenga.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Lakini bwana akashuka ili auone mji na mnara ambao wanadamu waliokuwa wanaujenga.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

5 BWANA akashuka ili auone mji na mnara waliokuwa wakiujenga wanadamu.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 11:5
10 Marejeleo ya Msalaba  

basi, nitashuka sasa nione kama wanayotenda ni kiasi cha kilio kilichonijia; na kama sivyo, nitajua.


BWANA yu katika hekalu lake takatifu. BWANA ambaye kiti chake kiko mbinguni, Macho yake yanaangalia; Kope zake zinawapima wanadamu.


wawe tayari kwa siku ya tatu; maana siku ya tatu BWANA atashuka katika mlima wa Sinai machoni pa watu hawa wote.


Mlima wa Sinai wote pia ukatoa moshi, kwa sababu BWANA alishuka katika moto; na ule moshi wake ukapanda juu kama moshi wa tanuri, mlima wote ukatetemeka sana.


BWANA akaushukia mlima, juu ya kilele cha mlima; BWANA akamwita Musa aende hata kilele cha mlima; Musa akapanda juu.


nami nimeshuka ili niwaokoe kutoka kwa mikono ya Wamisri, niwapandishe kutoka nchi ile, hadi nchi njema, kisha pana; nchi itiririkayo maziwa na asali; hata mahali pa Mkanaani, na Mhiti, na Mwamori, na Mperizi, na Mhivi, na Myebusi.


Wala hakuna mtu aliyepaa mbinguni, ila yeye aliyeshuka kutoka mbinguni, yaani, Mwana wa Adamu.


Wala hakuna kiumbe kisichokuwa wazi mbele zake, maana vitu vyote ni tupu na kuwekwa wazi machoni pake yeye ambaye tunapaswa kuwajibika kwake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo