Mwanzo 3:10 - Swahili Revised Union Version10 Akasema, Nilisikia sauti yako bustanini, nikaogopa kwa kuwa mimi ni uchi; nikajificha. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Naye akamjibu, “Nimesikia hatua zako bustanini, nikaogopa na kujificha, maana nilikuwa uchi.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Naye akamjibu, “Nimesikia hatua zako bustanini, nikaogopa na kujificha, maana nilikuwa uchi.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Naye akamjibu, “Nimesikia hatua zako bustanini, nikaogopa na kujificha, maana nilikuwa uchi.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Naye akajibu, “Nilikusikia katika bustani nikaogopa kwa sababu nilikuwa uchi, hivyo nikajificha.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Naye akajibu, “Nilikusikia katika bustani nikaogopa kwa sababu nilikuwa uchi, hivyo nikajificha.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Akasema, Nilisikia sauti yako bustanini, nikaogopa kwa kuwa mimi ni uchi; nikajificha. Tazama sura |