Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 3:9 - Swahili Revised Union Version

9 BWANA Mungu akamwita Adamu, akamwambia, Uko wapi?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Lakini Mwenyezi-Mungu akamwita huyo mwanamume, “Uko wapi?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Lakini Mwenyezi-Mungu akamwita huyo mwanamume, “Uko wapi?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Lakini Mwenyezi-Mungu akamwita huyo mwanamume, “Uko wapi?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Lakini Bwana Mwenyezi Mungu akamwita Adamu, “Uko wapi?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Lakini bwana Mwenyezi Mungu akamwita Adamu, “Uko wapi?”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

9 BWANA Mungu akamwita Adamu, akamwambia, Uko wapi?

Tazama sura Nakili




Mwanzo 3:9
8 Marejeleo ya Msalaba  

BWANA akashuka ili auone mji na mnara waliokuwa wakiujenga wanadamu.


Akamwambia, Hajiri, wewe mjakazi wa Sarai, unatoka wapi, na unakwenda wapi? Akanena, Namkimbia bimkubwa wangu Sarai.


Wakamwambia, Yu wapi Sara mkeo? Akasema, Yumo hemani.


BWANA akamwambia Kaini, Yuko wapi Habili ndugu yako? Akasema, Sijui, kwani mimi ni mlinzi wa ndugu yangu?


Lakini yeye akaingia, akasimama mbele ya bwana wake. Elisha akamwambia, Watoka wapi, Gehazi? Akanena, Mtumwa wako hakuenda mahali.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo