Akusanyaye wakati wa joto ni mwana mwenye hekima; Bali asinziaye wakati wa mavuno ni mwana mwenye kuaibisha.
Methali 6:8 - Swahili Revised Union Version Lakini hujiwekea akiba ya chakula wakati wa jua; Hukusanya chakula chake wakati wa mavuno. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema lakini hujiwekea chakula wakati wa kiangazi, hujikusanyia akiba wakati wa mavuno. Biblia Habari Njema - BHND lakini hujiwekea chakula wakati wa kiangazi, hujikusanyia akiba wakati wa mavuno. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza lakini hujiwekea chakula wakati wa kiangazi, hujikusanyia akiba wakati wa mavuno. Neno: Bibilia Takatifu lakini hujiwekea akiba wakati wa kiangazi na hukusanya chakula chake wakati wa mavuno. Neno: Maandiko Matakatifu lakini hujiwekea akiba wakati wa kiangazi na hukusanya chakula chake wakati wa mavuno. BIBLIA KISWAHILI Lakini hujiwekea akiba ya chakula wakati wa jua; Hukusanya chakula chake wakati wa mavuno. |
Akusanyaye wakati wa joto ni mwana mwenye hekima; Bali asinziaye wakati wa mavuno ni mwana mwenye kuaibisha.
Tena yatakuwapo maziwa ya mbuzi, Ya kukutosha kwa chakula chako, Na chakula cha watu wa nyumbani mwako, Na posho la vijakazi vyako.
huku wakijiwekea akiba iwe msingi mzuri kwa wakati ujao, ili wapate uzima ulio kweli kweli.