Methali 27:27 - Swahili Revised Union Version27 Tena yatakuwapo maziwa ya mbuzi, Ya kukutosha kwa chakula chako, Na chakula cha watu wa nyumbani mwako, Na posho la vijakazi vyako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 watakupa maziwa ya kukutosha wewe na jamaa yako, na kwa ajili ya watumishi wako wa kike. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 watakupa maziwa ya kukutosha wewe na jamaa yako, na kwa ajili ya watumishi wako wa kike. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 watakupa maziwa ya kukutosha wewe na jamaa yako, na kwa ajili ya watumishi wako wa kike. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 Utakuwa na maziwa mengi ya mbuzi kukulisha wewe na jamaa yako, na kuwalisha wajakazi wako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 Utakuwa na maziwa mengi ya mbuzi kukulisha wewe na jamaa yako, na kuwalisha watumishi wako wa kike. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI27 Tena yatakuwapo maziwa ya mbuzi, Ya kukutosha kwa chakula chako, Na chakula cha watu wa nyumbani mwako, Na posho la vijakazi vyako. Tazama sura |