Akafanya yaliyo mema machoni pa BWANA, akaziendea njia za Daudi babaye, asigeuke kwa kulia wala kwa kushoto.
Methali 4:5 - Swahili Revised Union Version Jipatie hekima, jipatie ufahamu; usiusahau; Wala usiyakatae maneno ya kinywa changu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Jipatie hekima, jipatie ufahamu; usisahau wala kupuuza maneno yangu. Biblia Habari Njema - BHND Jipatie hekima, jipatie ufahamu; usisahau wala kupuuza maneno yangu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Jipatie hekima, jipatie ufahamu; usisahau wala kupuuza maneno yangu. Neno: Bibilia Takatifu Pata hekima, pata ufahamu; usiyasahau maneno yangu wala usiyaache. Neno: Maandiko Matakatifu Pata hekima, pata ufahamu; usiyasahau maneno yangu wala usiyaache. BIBLIA KISWAHILI Jipatie hekima, jipatie ufahamu; usiusahau; Wala usiyakatae maneno ya kinywa changu. |
Akafanya yaliyo mema machoni pa BWANA, akaziendea njia za Daudi babaye, asigeuke kwa kulia wala kwa kushoto.
Nini maana yake, mpumbavu kuwa na fedha mkononi mwake ya kununulia hekima, Ikiwa hana moyo wa ufahamu?
Lakini mmoja wenu akipungukiwa na hekima, na aombe dua kwa Mungu, awapaye wote, kwa ukarimu, wala hakemei; naye atapewa.