Methali 17:16 - Swahili Revised Union Version16 Nini maana yake, mpumbavu kuwa na fedha mkononi mwake ya kununulia hekima, Ikiwa hana moyo wa ufahamu? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Ya nini mpumbavu kuwa na fedha mkononi kununulia hekima, wakati yeye mwenyewe hana akili? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Ya nini mpumbavu kuwa na fedha mkononi kununulia hekima, wakati yeye mwenyewe hana akili? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Ya nini mpumbavu kuwa na fedha mkononi kununulia hekima, wakati yeye mwenyewe hana akili? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Fedha ina faida gani mikononi mwa mpumbavu, wakati yeye hana haja ya kupata hekima? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Fedha ina faida gani mikononi mwa mpumbavu, wakati yeye hana haja ya kupata hekima? Tazama suraBIBLIA KISWAHILI16 Nini maana yake, mpumbavu kuwa na fedha mkononi mwake ya kununulia hekima, Ikiwa hana moyo wa ufahamu? Tazama sura |