Methali 4:6 - Swahili Revised Union Version6 Usimwache, naye atakusitiri; Umpende, naye atakulinda. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Usimwache Hekima, naye atakutunza; umpende, naye atakulinda. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Usimwache Hekima, naye atakutunza; umpende, naye atakulinda. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Usimwache Hekima, naye atakutunza; umpende, naye atakulinda. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Usimwache hekima naye atakuweka salama; mpende, naye atakulinda. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Usimwache hekima naye atakuweka salama; mpende, naye atakulinda. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Usimwache, naye atakusitiri; Umpende, naye atakulinda. Tazama sura |