Methali 4:7 - Swahili Revised Union Version7 Bora hekima, basi jipatie hekima; Naam, kwa mapato yako yote jipatie ufahamu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Jambo la msingi ni kujipatia hekima; toa vyote ulivyonavyo ujipatie akili. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Jambo la msingi ni kujipatia hekima; toa vyote ulivyonavyo ujipatie akili. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Jambo la msingi ni kujipatia hekima; toa vyote ulivyonavyo ujipatie akili. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Hekima ni bora kuliko vitu vyote; kwa hiyo jipe hekima. Hata ikikugharimu vyote ulivyo navyo, pata ufahamu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Hekima ni bora kuliko vitu vyote; kwa hiyo jipe hekima. Hata ikikugharimu vyote ulivyo navyo, pata ufahamu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Bora hekima, basi jipatie hekima; Naam, kwa mapato yako yote jipatie ufahamu. Tazama sura |