Methali 4:1 - Swahili Revised Union Version Wanangu, yasikilizeni mausia ya baba yenu, Tegeni masikio mpate kujua ufahamu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wanangu, sikilizeni mwongozo wa baba yenu, tegeni sikio mpate kuwa na akili. Biblia Habari Njema - BHND Wanangu, sikilizeni mwongozo wa baba yenu, tegeni sikio mpate kuwa na akili. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wanangu, sikilizeni mwongozo wa baba yenu, tegeni sikio mpate kuwa na akili. Neno: Bibilia Takatifu Sikilizeni wanangu, mafundisho ya baba; sikilizeni kwa makini na mpate ufahamu. Neno: Maandiko Matakatifu Sikilizeni wanangu, mafundisho ya baba yenu; sikilizeni kwa makini na mpate ufahamu. BIBLIA KISWAHILI Wanangu, yasikilizeni mausia ya baba yenu, Tegeni masikio mpate kujua ufahamu. |
Tega sikio lako uyasikie maneno ya wenye hekima, na kuuelekeza moyo wako kwa maarifa yangu;
Nasi tumeitii sauti ya Yonadabu, mwana wa Rekabu, baba yetu, katika yote aliyotuamuru, kwamba tusinywe divai siku zetu zote, sisi, na wake zetu, na wana wetu, na binti zetu;