Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 49:2 - Swahili Revised Union Version

2 Kusanyikeni, msikie, enyi wana wa Yakobo, Msikilizeni Israeli, baba yenu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 “Kusanyikeni msikie, enyi wana wa Yakobo, nisikilizeni mimi Israeli, baba yenu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 “Kusanyikeni msikie, enyi wana wa Yakobo, nisikilizeni mimi Israeli, baba yenu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 “Kusanyikeni msikie, enyi wana wa Yakobo, nisikilizeni mimi Israeli, baba yenu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 “Kusanyikeni na msikilize, enyi wana wa Yakobo; msikilizeni baba yenu Israeli.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 “Kusanyikeni na msikilize, enyi wana wa Yakobo, msikilizeni baba yenu Israeli.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

2 Kusanyikeni, msikie, enyi wana wa Yakobo, Msikilizeni Israeli, baba yenu.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 49:2
13 Marejeleo ya Msalaba  

Reubeni, u mzaliwa wangu wa kwanza, Nguvu zangu, na malimbuko ya uwezo wangu. Umewapita wengine kwa ukuu na kwa nguvu.


Njoni, enyi wana, mnisikilize, Nami nitawafundisha kumcha BWANA.


Ni nani atamaniye uzima na atakaye kuishi, Siku nyingi afurahie mema?


Msikilize baba yako aliyekuzaa, Wala usimdharau mama yako akiwa mzee.


Mwanangu, nipe moyo wako; Macho yako yapendezwe na njia zangu.


Mwanangu, sikiliza hekima yangu; Tega sikio lako, uzisikie akili zangu;


Mwanangu, shika maagizo ya baba yako, Wala usiiache sheria ya mama yako.


Mwanangu, yashike maneno yangu, Na kuziweka amri zangu akiba kwako.


Basi, wanangu, nisikilizeni sasa, Mkayaangalie maneno ya kinywa changu.


Basi, wanangu, nisikilizeni sasa; Maana heri hao wazishikao amri zangu.


Kusanyikeni, ninyi nyote, mkasikie; ni nani miongoni mwao aliyehubiri haya? BWANA amempenda; atatimiza mapenzi yake juu ya Babeli, na mkono wake utakuwa juu ya Wakaldayo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo