Methali 3:22 - Swahili Revised Union Version Basi yatakuwa uzima kwa nafsi yako, Na neema shingoni mwako. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema navyo vitakuwa uhai nafsini mwako, na pambo zuri shingoni mwako. Biblia Habari Njema - BHND navyo vitakuwa uhai nafsini mwako, na pambo zuri shingoni mwako. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza navyo vitakuwa uhai nafsini mwako, na pambo zuri shingoni mwako. Neno: Bibilia Takatifu ndipo vitakapokuwa uzima nafsini mwako na pambo la neema shingoni mwako. Neno: Maandiko Matakatifu ndipo vitakapokuwa uzima nafsini mwako na pambo la neema shingoni mwako. BIBLIA KISWAHILI Basi yatakuwa uzima kwa nafsi yako, Na neema shingoni mwako. |
Ufahamu ni chemchemi ya uzima kwake aliye nao; Bali kufundishwa kwa wapumbavu ni upuzi wao.
Ee Bwana, kwa mambo hayo watu huishi; Na uhai wa roho yangu u katika hayo yote; Kwa hiyo uniponye na kunihuisha.
Kwa maana si jambo lisilofaa kwenu; maana, ni maisha yenu, na kwa jambo hili mtazifanya siku zenu kuwa nyingi juu ya nchi mwivukiayo Yordani kuimiliki.