Ikawa bwana wake aliposikia maneno aliyoambia na mkewe, akisema, Mtumwa wako amenitendea mambo kama haya, hasira yake ikawaka.
Methali 29:12 - Swahili Revised Union Version Mwenye kutawala akisikiliza uongo; Basi watumishi wake wote watakuwa waovu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mtawala akisikiliza mambo ya uongo, maofisa wake wote watakuwa waovu. Biblia Habari Njema - BHND Mtawala akisikiliza mambo ya uongo, maofisa wake wote watakuwa waovu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mtawala akisikiliza mambo ya uongo, maofisa wake wote watakuwa waovu. Neno: Bibilia Takatifu Mtawala akisikiliza uongo, maafisa wake wote huwa waovu. Neno: Maandiko Matakatifu Kama mtawala akisikiliza uongo, maafisa wake wote huwa waovu. BIBLIA KISWAHILI Mwenye kutawala akisikiliza uongo; Basi watumishi wake wote watakuwa waovu. |
Ikawa bwana wake aliposikia maneno aliyoambia na mkewe, akisema, Mtumwa wako amenitendea mambo kama haya, hasira yake ikawaka.
akawajibu kama vile walivyomshauri vijana, akasema, Baba yangu alilifanya zito kongwa lenu, bali mimi nitaongeza kongwa lenu; baba yangu aliwapiga kwa mijeledi, bali mimi nitawapigeni kwa nge.
Walakini hawakusikia; naye Manase akawakosesha wafanye mabaya, kuliko mataifa BWANA aliowaharibu mbele za wana wa Israeli.
Lakini yeye, wala watumishi wake, wala watu wa nchi, hawakuyasikiliza maneno ya BWANA aliyonena kwa kinywa cha nabii Yeremia.
Naye Sauli akawaagiza watumishi wake, Zungumzeni na Daudi kwa siri, na kusema, Angalia, mfalme anakuridhia, na watumishi wake wote wanakupenda; haya basi! Na uwe mkwewe mfalme.