Methali 29:11 - Swahili Revised Union Version11 Mpumbavu hudhihirisha hasira yake yote; Bali mwenye hekima huizuia na kuituliza. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Mpumbavu huonesha hasira yake wazi, lakini mwenye hekima huizuia na kuituliza. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Mpumbavu huonesha hasira yake wazi, lakini mwenye hekima huizuia na kuituliza. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Mpumbavu huonesha hasira yake wazi, lakini mwenye hekima huizuia na kuituliza. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Mpumbavu huonesha hasira yake yote, bali mwenye hekima hujizuia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Mpumbavu huonyesha hasira yake yote, bali mwenye hekima hujizuia. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 Mpumbavu hudhihirisha hasira yake yote; Bali mwenye hekima huizuia na kuituliza. Tazama sura |