Methali 29:12 - Swahili Revised Union Version12 Mwenye kutawala akisikiliza uongo; Basi watumishi wake wote watakuwa waovu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Mtawala akisikiliza mambo ya uongo, maofisa wake wote watakuwa waovu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Mtawala akisikiliza mambo ya uongo, maofisa wake wote watakuwa waovu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Mtawala akisikiliza mambo ya uongo, maofisa wake wote watakuwa waovu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Mtawala akisikiliza uongo, maafisa wake wote huwa waovu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Kama mtawala akisikiliza uongo, maafisa wake wote huwa waovu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 Mwenye kutawala akisikiliza uongo; Basi watumishi wake wote watakuwa waovu. Tazama sura |