Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Methali 29:13 - Swahili Revised Union Version

13 Maskini na mdhalimu hukutana pamoja; BWANA huwatia nuru macho yao wote wawili.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Maskini na mkandamizaji wanafanana kwa kitu kimoja: Wote wawili wamepewa macho na Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Maskini na mkandamizaji wanafanana kwa kitu kimoja: Wote wawili wamepewa macho na Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Maskini na mkandamizaji wanafanana kwa kitu kimoja: wote wawili wamepewa macho na Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Mtu maskini na mtu mdhalimu wanafanana kwa jambo hili: Mwenyezi Mungu hutia nuru macho yao wote wawili.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Mtu maskini na mtu anayeonea wanafanana kwa jambo hili: bwana hutia nuru macho yao wote wawili.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

13 Maskini na mdhalimu hukutana pamoja; BWANA huwatia nuru macho yao wote wawili.

Tazama sura Nakili




Methali 29:13
10 Marejeleo ya Msalaba  

Na sasa kwa muda kidogo tumeneemeshwa na BWANA, Mungu wetu, hata akatuachia mabaki yaokoke, akatupa msumari katika mahali pake patakatifu. Mungu wetu atutie nuru machoni mwetu, tuburudike kidogo katika kufungwa kwetu.


Ee BWANA, Mungu wangu, uangalie, uniitikie; Uyatie nuru macho yangu, Nisije nikalala usingizi wa mauti.


Tajiri na maskini hukutana pamoja; BWANA ndiye aliyewaumba wote wawili.


ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni; maana yeye huwaangazia jua lake waovu na wema, huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki.


Naye Yesu alipokuwa akipita kutoka huko aliona mtu ameketi forodhani, aitwaye Mathayo, akamwambia, Nifuate. Akaondoka, akamfuata.


wala wezi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.


Nanyi mlikuwa wafu kwa sababu ya makosa na dhambi zenu;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo