Methali 29:10 - Swahili Revised Union Version10 Wamwagao damu humchukia mtu mkamilifu; Bali wenye haki humtunza nafsi yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Wapendao kumwaga damu humchukia mtu asiye na hatia, lakini watu wema huyalinda maisha yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Wapendao kumwaga damu humchukia mtu asiye na hatia, lakini watu wema huyalinda maisha yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Wapendao kumwaga damu humchukia mtu asiye na hatia, lakini watu wema huyalinda maisha yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Watu wanaomwaga damu humchukia mtu mwadilifu, na hutafuta kumuua mtu mnyofu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Watu wamwagao damu humchukia mtu mwadilifu na hutafuta kumuua mtu mnyofu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Wamwagao damu humchukia mtu mkamilifu; Bali wenye haki humtunza nafsi yake. Tazama sura |