Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Methali 29:9 - Swahili Revised Union Version

9 Mwenye hekima akijadiliana na mpumbavu; Akikasirika au akicheka, pia hapana raha.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Mwenye hekima akibishana na mpumbavu, mpumbavu huwaka hasira na kucheka bila kutulia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Mwenye hekima akibishana na mpumbavu, mpumbavu huwaka hasira na kucheka bila kutulia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Mwenye hekima akibishana na mpumbavu, mpumbavu huwaka hasira na kucheka bila kutulia.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Mwenye hekima akienda mahakamani na mpumbavu, mpumbavu hukasirika na kudhihaki, wala hakuna amani.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Kama mwenye hekima akienda mahakamani na mpumbavu, mpumbavu hukasirika na kudhihaki, wala hakuna amani.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

9 Mwenye hekima akijadiliana na mpumbavu; Akikasirika au akicheka, pia hapana raha.

Tazama sura Nakili

Methali 29:9
7 Marejeleo ya Msalaba  

Afadhali mtu akutwe na dubu jike aliyenyang'anywa watoto wake, Kuliko na mpumbavu katika upumbavu wake.

Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Usije ukafanana naye.

Wamwagao damu humchukia mtu mkamilifu; Bali wenye haki humtunza nafsi yake.

Watu wenye dharau huwasha mji moto; Bali wenye hekima hugeuzia mbali ghadhabu.

Mwanzo wa maneno ya kinywa chake ni upuuzi; na mwisho wa usemi wake ni wazimu wenye hatari.

Msiwape mbwa kilicho kitakatifu, wala msitupe lulu zenu mbele ya nguruwe, wasije wakazikanyaga chini ya miguu yao, wakageuka na kuwararua.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo