Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Mwanzo 39:19 - Swahili Revised Union Version

19 Ikawa bwana wake aliposikia maneno aliyoambia na mkewe, akisema, Mtumwa wako amenitendea mambo kama haya, hasira yake ikawaka.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 Basi, bwana wake Yosefu alipoyasikia maneno ya mkewe, kwamba ndivyo mtumishi wake alivyomtendea, akawaka hasira,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 Basi, bwana wake Yosefu alipoyasikia maneno ya mkewe, kwamba ndivyo mtumishi wake alivyomtendea, akawaka hasira,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 Basi, bwana wake Yosefu alipoyasikia maneno ya mkewe, kwamba ndivyo mtumishi wake alivyomtendea, akawaka hasira,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 Potifa aliposikia kisa alichosimuliwa na mkewe, akisema, “Hivi ndivyo mtumwa wako alivyonitenda,” hasira yake ikawaka.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 Potifa aliposikia kisa hiki mkewe alichomweleza, akisema, “Hivi ndivyo mtumwa wako alivyonitenda.” Hasira ya Potifa ikawaka.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

19 Ikawa bwana wake aliposikia maneno aliyoambia na mkewe, akisema, Mtumwa wako amenitendea mambo kama haya, hasira yake ikawaka.

Tazama sura Nakili

Mwanzo 39:19
10 Marejeleo ya Msalaba  

Ikawa nilipopaza sauti yangu, nikalia, akaacha nguo yake kwangu akakimbia nje.

Nilikuwa baba kwa mhitaji, Na kesi ya mtu nisiyemjua niliichunguza.

Papo hapo wangalitumeza hai, Hasira yao ilipowaka juu yetu.

Ajiteteaye kwanza huonekana kuwa ana haki; Lakini jirani yake huja na kumchunguza.

Mwenye kutawala akisikiliza uongo; Basi watumishi wake wote watakuwa waovu.

Maji mengi hayawezi kuuzimisha upendo, Wala mito haiwezi kuuzamisha; Kama mtu angetoa badala ya upendo Mali yote ya nyumbani mwake, Angedharauliwa kabisa.

Nikawajibu kwamba si desturi ya Warumi kumtoa mtu awaye yote, kabla mtu yule aliyeshitakiwa hajaonana na washitaki wake uso kwa uso, na kupewa nafasi ya kujitetea katika mashitaka yake.

Kwa hiyo Mungu anawaletea upotevu mwingi, wauamini uongo;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo