Mwanzo 39:18 - Swahili Revised Union Version18 Ikawa nilipopaza sauti yangu, nikalia, akaacha nguo yake kwangu akakimbia nje. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Lakini mara tu nilipopiga kelele, aliliacha vazi lake na kukimbilia nje.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Lakini mara tu nilipopiga kelele, aliliacha vazi lake na kukimbilia nje.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Lakini mara tu nilipopiga kelele, aliliacha vazi lake na kukimbilia nje.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Lakini mara nilipopiga yowe kuomba msaada, akaliacha vazi lake kando yangu, akakimbia nje ya nyumba.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Lakini mara nilipopiga kelele kuomba msaada, akaliacha vazi lake kando yangu akakimbia nje ya nyumba.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI18 Ikawa nilipopaza sauti yangu, nikalia, akaacha nguo yake kwangu akakimbia nje. Tazama sura |