Methali 29:11 - Swahili Revised Union Version Mpumbavu hudhihirisha hasira yake yote; Bali mwenye hekima huizuia na kuituliza. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mpumbavu huonesha hasira yake wazi, lakini mwenye hekima huizuia na kuituliza. Biblia Habari Njema - BHND Mpumbavu huonesha hasira yake wazi, lakini mwenye hekima huizuia na kuituliza. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mpumbavu huonesha hasira yake wazi, lakini mwenye hekima huizuia na kuituliza. Neno: Bibilia Takatifu Mpumbavu huonesha hasira yake yote, bali mwenye hekima hujizuia. Neno: Maandiko Matakatifu Mpumbavu huonyesha hasira yake yote, bali mwenye hekima hujizuia. BIBLIA KISWAHILI Mpumbavu hudhihirisha hasira yake yote; Bali mwenye hekima huizuia na kuituliza. |
Hekima hukaa katika moyo wake mwenye ufahamu; Bali yaliyo ndani ya wapumbavu hudhihirika.
Kwa ajili ya hayo mwenye busara atanyamaza kimya wakati kama huo; kwa kuwa ni wakati mbaya.
Msimwamini rafiki, msimwekee kiongozi tumaini; ilinde milango ya midomo ya kinywa chako ili mkeo alalaye kifuani mwako asijue habari.
Ndipo alipomwambia yote yaliyokuwa moyoni mwake, akamwambia, Wembe haukupita juu ya kichwa changu kamwe; maana mimi nimekuwa Mnadhiri wa Mungu, tangu tumboni mwa mama yangu; nikinyolewa, ndipo nguvu zangu zitanitoka, nami nitakuwa dhaifu, nitakuwa kama wanadamu wenzangu.