Methali 19:11 - Swahili Revised Union Version11 Busara ya mtu huiahirisha hasira yake; Nayo ni fahari yake kusamehe makosa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Mwenye busara hakasiriki upesi; kusamehe makosa ni fahari kwake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Mwenye busara hakasiriki upesi; kusamehe makosa ni fahari kwake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Mwenye busara hakasiriki upesi; kusamehe makosa ni fahari kwake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Hekima ya mtu humpa uvumilivu, ni kwa utukufu wake kusamehe makosa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Hekima ya mtu humpa uvumilivu, ni kwa utukufu wake kusamehe makosa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 Busara ya mtu huiahirisha hasira yake; Nayo ni fahari yake kusamehe makosa. Tazama sura |