Methali 19:10 - Swahili Revised Union Version10 Maisha ya anasa hayampasi mpumbavu; Sembuse mtumwa awatawale wakuu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Haifai kwa mpumbavu kuishi kwa anasa, tena ni vibaya zaidi mtumwa kuwatawala wakuu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Haifai kwa mpumbavu kuishi kwa anasa, tena ni vibaya zaidi mtumwa kuwatawala wakuu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Haifai kwa mpumbavu kuishi kwa anasa, tena ni vibaya zaidi mtumwa kuwatawala wakuu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Haistahili mpumbavu kuishi katika anasa, itakuwa vibaya kiasi gani kwa mtumwa kuwatawala wakuu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Haistahili mpumbavu kuishi katika anasa, itakuwa vibaya kiasi gani kwa mtumwa kuwatawala wakuu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Maisha ya anasa hayampasi mpumbavu; Sembuse mtumwa awatawale wakuu. Tazama sura |