Ikiwa wewe kwa njia yoyote wapokea nguo ya jirani yako rehani, lazima utamrudishia mbele ya jua kuchwa;
Methali 27:13 - Swahili Revised Union Version Twaa nguo yake amdhaminiye mgeni; Mtoza rehani aliye mdhamini wa malaya. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mtu akiahidi mbele yako kumdhamini mgeni, chukua nguo yake; mfanye awajibike kwa kuwadhamini wageni. Biblia Habari Njema - BHND Mtu akiahidi mbele yako kumdhamini mgeni, chukua nguo yake; mfanye awajibike kwa kuwadhamini wageni. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mtu akiahidi mbele yako kumdhamini mgeni, chukua nguo yake; mfanye awajibike kwa kuwadhamini wageni. Neno: Bibilia Takatifu Chukua vazi la yule awekaye dhamana kwa ajili ya mgeni; lishikilie liwe dhamana kwa ajili ya mgeni. Neno: Maandiko Matakatifu Chukua vazi la yule awekaye dhamana kwa ajili ya mgeni; lishikilie iwe dhamana kama anafanya hivyo kwa ajili ya mwanamke mpotovu. BIBLIA KISWAHILI Twaa nguo yake amdhaminiye mgeni; Mtoza rehani aliye mdhamini wa malaya. |
Ikiwa wewe kwa njia yoyote wapokea nguo ya jirani yako rehani, lazima utamrudishia mbele ya jua kuchwa;