Methali 20:16 - Swahili Revised Union Version16 Twaa nguo yake amdhaminiye mgeni; Mtoze rehani aliye mdhamini wa wageni. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Mtu akiahidi mbele yako kumdhamini mgeni, chukua nguo yake; mfanye awajibike kwa kuwadhamini wageni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Mtu akiahidi mbele yako kumdhamini mgeni, chukua nguo yake; mfanye awajibike kwa kuwadhamini wageni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Mtu akiahidi mbele yako kumdhamini mgeni, chukua nguo yake; mfanye awajibike kwa kuwadhamini wageni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Chukua vazi la yule awekaye dhamana kwa ajili ya mgeni; lishikilie liwe dhamana kwa ajili ya mgeni. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Chukua vazi la yule awekaye dhamana kwa ajili ya mgeni; lishikilie iwe dhamana kama anafanya hivyo kwa ajili ya mwanamke mpotovu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI16 Twaa nguo yake amdhaminiye mgeni; Mtoze rehani aliye mdhamini wa wageni. Tazama sura |