Methali 22:26 - Swahili Revised Union Version Usiwe mmoja wao wawekao rehani; Au walio wadhamini kwa deni za watu; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Usiwe mmoja wao wenye kuweka ahadi, watu ambao hujiweka wadhamini wa madeni. Biblia Habari Njema - BHND Usiwe mmoja wao wenye kuweka ahadi, watu ambao hujiweka wadhamini wa madeni. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Usiwe mmoja wao wenye kuweka ahadi, watu ambao hujiweka wadhamini wa madeni. Neno: Bibilia Takatifu Usiwe mwenye kupeana mikono katika rehani, au kuweka dhamana kwa ajili ya madeni; Neno: Maandiko Matakatifu Usiwe mwenye kupana mikono katika rehani, au kuweka dhamana kwa ajili ya madeni. BIBLIA KISWAHILI Usiwe mmoja wao wawekao rehani; Au walio wadhamini kwa deni za watu; |