Methali 17:18 - Swahili Revised Union Version18 Asiye na hekima hupeana mkono na mtu; Na kuwa mdhamini wa mtu mwingine. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Si jambo la akili kuweka rehani, na kuwa mdhamini wa mtu mwingine. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Si jambo la akili kuweka rehani, na kuwa mdhamini wa mtu mwingine. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Si jambo la akili kuweka rehani, na kuwa mdhamini wa mtu mwingine. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Mtu mjinga huutoa mkono ili kuweka rehani, naye huweka dhamana kwa jirani yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Mtu mjinga hupana mkono ili kuweka rehani, naye huweka dhamana kwa jirani yake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI18 Asiye na hekima hupeana mkono na mtu; Na kuwa mdhamini wa mtu mwingine. Tazama sura |