Methali 22:27 - Swahili Revised Union Version27 Kama huna kitu cha kulipa; Kwani ukaondolee kitanda chako chini yako? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 Ikiwa huna chochote cha kulipa, hata kitanda unacholalia kitachukuliwa! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 Ikiwa huna chochote cha kulipa, hata kitanda unacholalia kitachukuliwa! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 Ikiwa huna chochote cha kulipa, hata kitanda unacholalia kitachukuliwa! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 ukikosa njia ya kulipa, kitanda chako kitachukuliwa ukiwa umekilalia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 Kama ukikosa njia ya kulipa, kitanda chako kitachukuliwa ukiwa umekilalia. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI27 Kama huna kitu cha kulipa; Kwani ukaondolewe kitanda chako chini yako? Tazama sura |