Methali 22:26 - Swahili Revised Union Version26 Usiwe mmoja wao wawekao rehani; Au walio wadhamini kwa deni za watu; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Usiwe mmoja wao wenye kuweka ahadi, watu ambao hujiweka wadhamini wa madeni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Usiwe mmoja wao wenye kuweka ahadi, watu ambao hujiweka wadhamini wa madeni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Usiwe mmoja wao wenye kuweka ahadi, watu ambao hujiweka wadhamini wa madeni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Usiwe mwenye kupeana mikono katika rehani, au kuweka dhamana kwa ajili ya madeni; Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Usiwe mwenye kupana mikono katika rehani, au kuweka dhamana kwa ajili ya madeni. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI26 Usiwe mmoja wao wawekao rehani; Au walio wadhamini kwa deni za watu; Tazama sura |