Methali 20:16 - Swahili Revised Union Version Twaa nguo yake amdhaminiye mgeni; Mtoze rehani aliye mdhamini wa wageni. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mtu akiahidi mbele yako kumdhamini mgeni, chukua nguo yake; mfanye awajibike kwa kuwadhamini wageni. Biblia Habari Njema - BHND Mtu akiahidi mbele yako kumdhamini mgeni, chukua nguo yake; mfanye awajibike kwa kuwadhamini wageni. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mtu akiahidi mbele yako kumdhamini mgeni, chukua nguo yake; mfanye awajibike kwa kuwadhamini wageni. Neno: Bibilia Takatifu Chukua vazi la yule awekaye dhamana kwa ajili ya mgeni; lishikilie liwe dhamana kwa ajili ya mgeni. Neno: Maandiko Matakatifu Chukua vazi la yule awekaye dhamana kwa ajili ya mgeni; lishikilie iwe dhamana kama anafanya hivyo kwa ajili ya mwanamke mpotovu. BIBLIA KISWAHILI Twaa nguo yake amdhaminiye mgeni; Mtoze rehani aliye mdhamini wa wageni. |