Methali 18:8 - Swahili Revised Union Version Maneno ya mchongezi ni kama vitoweo; Nayo hushukia pande za ndani za tumbo. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Maneno ya msengenyaji ni kama kitoweo kitamu; ambacho hushuka moja kwa moja mpaka tumboni. Biblia Habari Njema - BHND Maneno ya msengenyaji ni kama kitoweo kitamu; ambacho hushuka moja kwa moja mpaka tumboni. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Maneno ya msengenyaji ni kama kitoweo kitamu; ambacho hushuka moja kwa moja mpaka tumboni. Neno: Bibilia Takatifu Maneno ya mchongezi ni kama chakula kitamu; huingia sehemu za ndani sana za mtu. Neno: Maandiko Matakatifu Maneno ya mchongezi ni kama chakula kitamu; huingia sehemu za ndani sana za mtu. BIBLIA KISWAHILI Maneno ya mchongezi ni kama vitoweo; Nayo hushukia pande za ndani za tumbo. |
Usiende huku na huko katikati ya watu wako, kama mchongezi; wala usijifaidi kwa damu ya jirani yako; mimi ndimi BWANA.