Methali 16:16 - Swahili Revised Union Version Si afadhali kupata hekima kuliko dhahabu? Naam, yafaa kuchagua ufahamu kuliko fedha. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kupata hekima ni bora kuliko dhahabu; kupata akili ni chaguo bora kuliko fedha. Biblia Habari Njema - BHND Kupata hekima ni bora kuliko dhahabu; kupata akili ni chaguo bora kuliko fedha. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kupata hekima ni bora kuliko dhahabu; kupata akili ni chaguo bora kuliko fedha. Neno: Bibilia Takatifu Ni bora kiasi gani kupata hekima kuliko dhahabu, kuchagua ufahamu kuliko fedha! Neno: Maandiko Matakatifu Ni bora kiasi gani kupata hekima kuliko dhahabu, kuchagua ufahamu kuliko fedha! BIBLIA KISWAHILI Si afadhali kupata hekima kuliko dhahabu? Naam, yafaa kuchagua ufahamu kuliko fedha. |
Maana biashara yake ni bora kuliko biashara ya fedha, Na faida yake ni nyingi kuliko dhahabu safi.
Matunda yangu ni bora kuliko dhahabu, naam, dhahabu safi, Na faida yangu ni bora kuliko fedha iliyo safi.
Kwa maana ulinzi wa hekima ni kama ulinzi wa fedha na ubora wa maarifa ni kwamba hekima humhifadhi yeye aliye nayo.
Kwani atafaidiwa nini mtu akiupata ulimwengu wote, na kuipoteza nafsi yake? Au mtu atatoa nini badala ya nafsi yake?