Methali 3:13 - Swahili Revised Union Version13 Heri mtu yule aonaye hekima, Na mtu yule apataye ufahamu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Heri mtu anayegundua hekima, mtu yule anayepata ufahamu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Heri mtu anayegundua hekima, mtu yule anayepata ufahamu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Heri mtu anayegundua hekima, mtu yule anayepata ufahamu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Heri mtu yule apataye hekima, mtu yule apataye ufahamu, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Heri mtu yule aonaye hekima, mtu yule apataye ufahamu, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Heri mtu yule aonaye hekima, Na mtu yule apataye ufahamu. Tazama sura |