Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Methali 3:12 - Swahili Revised Union Version

12 Kwa kuwa BWANA ampendaye humrudi, Kama vile baba mwanawe ampendezaye.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 maana Mwenyezi-Mungu humwonya yule ampendaye, kama baba amwonyavyo mwanawe mpenzi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 maana Mwenyezi-Mungu humwonya yule ampendaye, kama baba amwonyavyo mwanawe mpenzi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 maana Mwenyezi-Mungu humwonya yule ampendaye, kama baba amwonyavyo mwanawe mpenzi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 kwa sababu Mwenyezi Mungu huwaadibisha wale anaowapenda, kama vile baba afanyavyo kwa mwana apendezwaye naye.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 kwa sababu bwana huwaadibisha wale awapendao, kama vile baba afanyavyo kwa mwana apendezwaye naye.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

12 Kwa kuwa BWANA ampendaye humrudi, Kama vile baba mwanawe ampendezaye.

Tazama sura Nakili




Methali 3:12
7 Marejeleo ya Msalaba  

Kama vile baba awahurumiavyo watoto wake, Ndivyo BWANA anavyowahurumia wamchao.


Ee BWANA, heri mtu yule umwadibuye, Na kumfundisha kwa sheria yako;


Yeye asiyetumia fimbo yake humchukia mwanawe; Bali yeye ampendaye humrudi mapema.


Mrudi mwanao naye atakustarehesha; Naam, atakufurahisha nafsi yako.


Nawe fikiri moyoni mwako, ya kuwa kama vile baba amrudivyo mwanawe, ndivyo BWANA, Mungu wako, akurudivyo.


Maana yeye ambaye Bwana ampenda, humuonya Naye humpiga kila mwana amkubaliye.


Wote niwapendao mimi nawakemea, na kuwarudi; basi uwe na bidii, ukatubu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo