Methali 3:11 - Swahili Revised Union Version11 Mwanangu, usidharau kuadhibiwa na BWANA, Wala usione ni taabu kurudiwa naye. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Mwanangu, usidharau adhabu ya Mwenyezi-Mungu, wala usiudhike kwa maonyo yake; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Mwanangu, usidharau adhabu ya Mwenyezi-Mungu, wala usiudhike kwa maonyo yake; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Mwanangu, usidharau adhabu ya Mwenyezi-Mungu, wala usiudhike kwa maonyo yake; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Mwanangu, usidharau adhabu ya Mwenyezi Mungu na usichukie maonyo yake, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Mwanangu, usiidharau adhabu ya bwana na usichukie kukaripiwa naye, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 Mwanangu, usidharau kuadhibiwa na BWANA, Wala usione ni taabu kurudiwa naye. Tazama sura |