Methali 3:10 - Swahili Revised Union Version10 Ndipo ghala zako zitakapojazwa kwa wingi, Na vyombo vyako vitafurika divai mpya. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Hapo ghala zako zitajaa nafaka, na mapipa yako yatafurika divai mpya. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Hapo ghala zako zitajaa nafaka, na mapipa yako yatafurika divai mpya. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Hapo ghala zako zitajaa nafaka, na mapipa yako yatafurika divai mpya. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 ndipo ghala zako zitakapojaa hadi kufurika, viriba vyako vitafurika kwa mvinyo mpya. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 ndipo ghala zako zitakapojaa hadi kufurika, viriba vyako vitafurika kwa mvinyo mpya. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Ndipo ghala zako zitakapojazwa kwa wingi, Na vyombo vyako vitafurika divai mpya. Tazama sura |