Methali 2:4 - Swahili Revised Union Version4 Ukiutafuta kama fedha, Na kuutafutia kama hazina iliyositirika; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 ukiitafuta hekima kama fedha, na kuitaka kama hazina iliyofichika; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 ukiitafuta hekima kama fedha, na kuitaka kama hazina iliyofichika; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 ukiitafuta hekima kama fedha, na kuitaka kama hazina iliyofichika; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 na ukiitafuta kama fedha na kuitafuta sana kama hazina iliyofichwa, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 na kama utaitafuta kama fedha na kuitafuta sana kama hazina iliyofichwa, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Ukiutafuta kama fedha, Na kuutafutia kama hazina iliyositirika; Tazama sura |