Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Methali 16:15 - Swahili Revised Union Version

15 Kuna uhai katika nuru ya uso wa mfalme, Na fadhili zake ni kama wingu la masika.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Uso wa mfalme ukingaa kuna uhai; wema wake ni kama wingu la masika.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Uso wa mfalme ukingaa kuna uhai; wema wake ni kama wingu la masika.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Uso wa mfalme uking'aa kuna uhai; wema wake ni kama wingu la masika.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Uso wa mfalme ung’aapo, inamaanisha uhai; upendeleo wake ni kama wingu la mvua wakati wa vuli.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Uso wa mfalme ung’aapo, inamaanisha uhai; upendeleo wake ni kama wingu la mvua wakati wa vuli.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

15 Kuna uhai katika nuru ya uso wa mfalme, Na fadhili zake ni kama wingu la masika.

Tazama sura Nakili




Methali 16:15
11 Marejeleo ya Msalaba  

Maana umemfanya kuwa baraka za milele, Wamfurahisha kwa furaha ya uso wako.


Maana ghadhabu zake ni za muda mfupi tu; Radhi yake ni ya milele. Kilio huweza kuwapo usiku, Lakini furaha huja asubuhi.


Wengi husema, Nani atakayetuonesha mema? BWANA, utuinulie nuru ya uso wako.


Atashuka kama mvua juu ya majani yaliyokatwa, Kama manyunyu yainyweshayo nchi.


Hasira ya mfalme ni kama wajumbe wa mauti; Lakini mtu mwenye hekima ataituliza.


Ghadhabu ya mfalme ni kama ngurumo ya simba; Bali hisani yake kama umande juu ya majani.


Watu wengi hutafuta upendeleo wa mkuu; Bali hukumu ya kila mtu hutoka kwa BWANA


Nasi na tujue, naam, tukaendelee kumjua BWANA; kutokea kwake ni yakini kama asubuhi; naye atatujia kama mvua, kama mvua ya vuli iinyweshayo nchi.


Mwombeni BWANA mvua wakati wa masika, naam, BWANA aletaye mawingu ya mvua, naye atawapa manyunyu ya mvua, kila mtu atapewa nyasi shambani.


Umenijulisha njia za uzima; Utanijaza furaha kwa uso wako.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo