Kumcha BWANA ndio mwanzo wa hekima, Wote wafanyao hayo wana ufahamu mzuri, Sifa zake zadumu milele.
Methali 13:15 - Swahili Revised Union Version Ufahamu mwema huleta upendeleo; Bali njia ya muasi huangamiza. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kuwa na akili huleta fadhili, lakini njia ya waovu ni ya taabu Biblia Habari Njema - BHND Kuwa na akili huleta fadhili, lakini njia ya waovu ni ya taabu Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kuwa na akili huleta fadhili, lakini njia ya waovu ni ya taabu Neno: Bibilia Takatifu Ufahamu mzuri hupata upendeleo, bali njia ya asiye mwaminifu ni ngumu. Neno: Maandiko Matakatifu Ufahamu mzuri hupata upendeleo, bali njia ya asiye mwaminifu ni ngumu. BIBLIA KISWAHILI Ufahamu mwema huleta upendeleo; Bali njia ya muasi huangamiza. |
Kumcha BWANA ndio mwanzo wa hekima, Wote wafanyao hayo wana ufahamu mzuri, Sifa zake zadumu milele.
Upendeleo wa mfalme humwelekea mtumwa atendaye kwa busara; Bali hasira yake itakuwa juu yake aletaye aibu.
Uovu wako mwenyewe utakurudi, maasi yako yatakukaripia; ujue, basi, ukaone, ya kuwa ni jambo baya sana na uchungu, kuwa umemwacha BWANA, Mungu wako, na ya kuwa moyoni mwako hamna kunihofu, asema Bwana, BWANA wa majeshi.
akamtoa katika dhiki zake zote, akampa fadhili na hekima mbele ya Farao, mfalme wa Misri; naye akamfanya awe mtawala juu ya Misri na nyumba yake yote.
Ni faida gani basi mliyopata siku zile kwa mambo hayo mnayoyatahayarikia sasa? Kwa maana mwisho wa mambo hayo ni mauti.