Basi wakamtundika Hamani juu ya mti aliomwekea tayari Mordekai. Ghadhabu ya mfalme ikatulia.
Methali 11:27 - Swahili Revised Union Version Atafutaye mema kwa bidii hutafuta fadhili; Atafutaye madhara, hayo yatamjia. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Atafutaye kutenda mema hupata fadhili, lakini atafutaye kutenda maovu atapatwa na maovu. Biblia Habari Njema - BHND Atafutaye kutenda mema hupata fadhili, lakini atafutaye kutenda maovu atapatwa na maovu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Atafutaye kutenda mema hupata fadhili, lakini atafutaye kutenda maovu atapatwa na maovu. Neno: Bibilia Takatifu Yeye atafutaye mema hupata ukarimu, bali ubaya huja kwake yeye autafutaye. Neno: Maandiko Matakatifu Yeye atafutaye mema hupata ukarimu, bali ubaya huja kwake yeye autafutaye. BIBLIA KISWAHILI Atafutaye mema kwa bidii hutafuta fadhili; Atafutaye madhara, hayo yatamjia. |
Basi wakamtundika Hamani juu ya mti aliomwekea tayari Mordekai. Ghadhabu ya mfalme ikatulia.
Kwa kiburi chake asiye haki mnyonge anafuatiwa kwa ukali; Na wanaswe kwa hila zizo hizo walizoziwaza.
Wameweka wavu ili kuninasa miguu; Nimevunjika moyo; Wamechimba shimo njiani mwangu; Lakini wao wenyewe wametumbukia humo!