Methali 11:27 - Swahili Revised Union Version27 Atafutaye mema kwa bidii hutafuta fadhili; Atafutaye madhara, hayo yatamjia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 Atafutaye kutenda mema hupata fadhili, lakini atafutaye kutenda maovu atapatwa na maovu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 Atafutaye kutenda mema hupata fadhili, lakini atafutaye kutenda maovu atapatwa na maovu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 Atafutaye kutenda mema hupata fadhili, lakini atafutaye kutenda maovu atapatwa na maovu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 Yeye atafutaye mema hupata ukarimu, bali ubaya huja kwake yeye autafutaye. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 Yeye atafutaye mema hupata ukarimu, bali ubaya huja kwake yeye autafutaye. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI27 Atafutaye mema kwa bidii hutafuta fadhili; Atafutaye madhara, hayo yatamjia. Tazama sura |