wakaleta magodoro, na mabakuli, na vyungu, na ngano, na shayiri, na unga, na bisi, na kunde, na dengu,
Methali 11:25 - Swahili Revised Union Version Nafsi ya mtu mkarimu itastawishwa; Anyweshaye atanyweshwa mwenyewe. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mtu mkarimu atafanikishwa, amnyweshaye mwingine maji naye atanyweshwa. Biblia Habari Njema - BHND Mtu mkarimu atafanikishwa, amnyweshaye mwingine maji naye atanyweshwa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mtu mkarimu atafanikishwa, amnyweshaye mwingine maji naye atanyweshwa. Neno: Bibilia Takatifu Mtu mkarimu atastawi; yeye awaburudishaye wengine ataburudishwa mwenyewe. Neno: Maandiko Matakatifu Mtu mkarimu atastawi; yeye awaburudishaye wengine ataburudishwa mwenyewe. BIBLIA KISWAHILI Nafsi ya mtu mkarimu itastawishwa; Anyweshaye atanyweshwa mwenyewe. |
wakaleta magodoro, na mabakuli, na vyungu, na ngano, na shayiri, na unga, na bisi, na kunde, na dengu,
Kuna atawanyaye, lakini huongezewa zaidi; Kuna azuiaye isivyo haki, lakini huelekea uhitaji.
Mwenye kuwagawia maskini hatahitaji kitu; Bali afichaye macho yake atakuwa na laana nyingi.