Methali 11:25 - Swahili Revised Union Version25 Nafsi ya mtu mkarimu itastawishwa; Anyweshaye atanyweshwa mwenyewe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Mtu mkarimu atafanikishwa, amnyweshaye mwingine maji naye atanyweshwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Mtu mkarimu atafanikishwa, amnyweshaye mwingine maji naye atanyweshwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Mtu mkarimu atafanikishwa, amnyweshaye mwingine maji naye atanyweshwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Mtu mkarimu atastawi; yeye awaburudishaye wengine ataburudishwa mwenyewe. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Mtu mkarimu atastawi; yeye awaburudishaye wengine ataburudishwa mwenyewe. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI25 Nafsi ya mtu mkarimu itastawishwa; Anyweshaye atanyweshwa mwenyewe. Tazama sura |