Kisha nikamwuliza, U binti wa nani wewe? Naye akasema, Mimi ni binti Bethueli, mwana wa Nahori, Milka aliyemzalia. Nami nikamtia kishaufu puani mwake na vikuku mikononi mwake.
Methali 11:22 - Swahili Revised Union Version Kama pete ya dhahabu katika pua ya nguruwe, Ndivyo alivyo mwanamke mzuri asiye na akili. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mwanamke mzuri asiye na akili, ni kama pete ya dhahabu puani mwa nguruwe. Biblia Habari Njema - BHND Mwanamke mzuri asiye na akili, ni kama pete ya dhahabu puani mwa nguruwe. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mwanamke mzuri asiye na akili, ni kama pete ya dhahabu puani mwa nguruwe. Neno: Bibilia Takatifu Kama pete ya dhahabu katika pua ya nguruwe ndivyo alivyo mwanamke mzuri ambaye hana busara. Neno: Maandiko Matakatifu Kama pete ya dhahabu katika pua ya nguruwe ndivyo alivyo mwanamke mzuri ambaye hana busara. BIBLIA KISWAHILI Kama pete ya dhahabu katika pua ya nguruwe, Ndivyo alivyo mwanamke mzuri asiye na akili. |
Kisha nikamwuliza, U binti wa nani wewe? Naye akasema, Mimi ni binti Bethueli, mwana wa Nahori, Milka aliyemzalia. Nami nikamtia kishaufu puani mwake na vikuku mikononi mwake.
Upendeleo hudanganya, na uzuri ni ubatili; Bali mwanamke amchaye BWANA, ndiye atakayesifiwa.
Lakini imetukia kwao sawasawa na ile mithali ya kweli, Mbwa ameyarudia matapiko yake mwenyewe, na nguruwe aliyeoshwa amerudi kugaagaa matopeni.