Methali 11:1 - Swahili Revised Union Version Mizani ya udanganyifu ni chukizo kwa BWANA; Bali vipimo vilivyo sawasawa humpendeza. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mizani ya udanganyifu ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu, lakini matumizi ya kipimo halali ni furaha kwake. Biblia Habari Njema - BHND Mizani ya udanganyifu ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu, lakini matumizi ya kipimo halali ni furaha kwake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mizani ya udanganyifu ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu, lakini matumizi ya kipimo halali ni furaha kwake. Neno: Bibilia Takatifu Mwenyezi Mungu huchukia sana mizani za udanganyifu, bali vipimo sahihi ni furaha yake. Neno: Maandiko Matakatifu bwana huchukia sana mizani za udanganyifu, bali vipimo sahihi ni furaha yake. BIBLIA KISWAHILI Mizani ya udanganyifu ni chukizo kwa BWANA; Bali vipimo vilivyo sawasawa humpendeza. |
Naye Efraimu alisema, Kweli nimekuwa tajiri, nimejipatia mali nyingi; katika kazi zangu zote hawataona kwangu uovu wowote uliokuwa dhambi.