Methali 20:10 - Swahili Revised Union Version10 Vipimo mbalimbali, na pishi mbalimbali, Vyote viwili ni chukizo kwa BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Mizani ya udanganyifu na vipimo vya udanganyifu, vyote ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Mizani ya udanganyifu na vipimo vya udanganyifu, vyote ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Mizani ya udanganyifu na vipimo vya udanganyifu, vyote ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Mawe ya kupimia yaliyo tofauti na vipimo tofauti, Mwenyezi Mungu huchukia vyote viwili. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Mawe ya kupimia yaliyo tofauti na vipimo tofauti, bwana huchukia vyote viwili. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Vipimo mbalimbali, na pishi mbalimbali, Vyote viwili ni chukizo kwa BWANA. Tazama sura |